ANDROID APK ON COMPUTER



πŸ”ΊANDROID APK ON COMPUTERπŸ’―

    πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“πŸ†“

πŸ’’Umekuwa ukihitaji kutumia application za simu yako kwenye Laptop yako au Computer, na umeshindwa kufanya hivo?✳️

πŸ’’Leo nimekuletea makala hii itakuwezesha kutumia Application yoyote ya Simu yako katika Laptop ama Computer yako.✳️

♻️How? Let's go to see...♻️

1⃣Download hilo file hapo juu. 

2⃣Likimaliza lifungue katika Computer yako.

3⃣Baada ya hapo fanya installation ya faili hilo.

4⃣Ikimaliza litafunguka kama simu ya mkononi lakin itakuwa ndani ya Computer yako.

5⃣Weka application zako katika partition ya hard disc na hapo utaweza kutumia kama simu ya kawaida.

✅Hapo utaweza kucheza Games, Kuangalia Videos, Kutumia mitandao ya kijamii kama Simu ya mkononiπŸ†“

πŸ”»NOTE:

It's for education purposes only.

πŸ’€ πŸ’€

πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°

Sambaza wengi wajifunze zaidi.